Familia ya Mzee ANTHONY JACOB wa Kashari Uvinza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO Wa HARUSI
Familia ya Mzee ANTHONY JACOB wa Kashari Uvinza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Mawazo Anthony
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tisa.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 27/09/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Mama Leonida 0755 922 393
Nombo 0716 990 606
Statistics
Created today: 60
Created yesterday: 74
Created 7 days: 915
Created 30 days: 4139
All ecards: 330159
Copyright by CreateGreetingCards.eu