Familia ya Mzee ANUARI NAHODA wa Nahukahuka inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee ANUARI NAHODA wa Nahukahuka inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa SHAJIRU ANUARI NAHODA
anatarajia kufunga ndoa Tarehe 30/11/2023.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Mawasiliano : 0783936786 Haruni Nahoda.
Statistics
Created today: 3
Created yesterday: 61
Created 7 days: 889
Created 30 days: 4076
All ecards: 330028
Copyright by CreateGreetingCards.eu