Familia ya Mzee Lubuga Bulugu wa Kijiji cha Silmila, kata ya Butinzya, wilaya ya Bukombe inayo furah
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Lubuga Bulugu wa Kijiji cha Silmila, kata ya Butinzya, wilaya ya Bukombe inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Taasisi ya
………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………………
kuwa kijana wao mpendwa Bulugu Lubuga
anatarajia kufanya sherehe ya ndoa tarehe 11/11/2023.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Michango inapokelewa kupitia M-Pesa - 0753341403 (Bulugu Lubuga) au Airtel Money - 0783523643 (Bulugu Lubuga)
Mawasiliano : Bulugu Lubuga 0753341403
Statistics
Created today: 60
Created yesterday: 74
Created 7 days: 915
Created 30 days: 4139
All ecards: 330159
Copyright by CreateGreetingCards.eu