Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Mzee Mbweto wa komkonga Handeni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Mzee Mbweto wa komkonga Handeni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Mbweto wa komkonga Handeni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Omary Mbweto
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa Tarehe 17/08/2024
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Mchango TSH 20, 000 singe na Double 40,000Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/08/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Mama Mohamed 0713387644
Thani 0785 779751
Similar cards
Inspirations
On Friday, 28 AprilDatoOn Satarday, 27 January 2024Venue : Mohan Park Lobby/OfficeFamilia ya mzee KIMARIO wa Babati - Manyara wanayofuraha kubwa kukualika/kuwaalika bi,bwn,shekh,ost
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 6 Created 7 days: 57 Created 30 days: 285 All ecards: 359997
Copyright by CreateGreetingCards.eu