Familia ya Mzee Ngazonia Mlembo inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Ngazonia Mlembo inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.........HANCE ....................................
kuwa kijana wao mpendwa Yonael Ngazonia Mlembo
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumii na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 1/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki
No 0758996967 Yonael mlembo
Statistics
Created today: 99
Created yesterday: 124
Created 7 days: 682
Created 30 days: 2026
All ecards: 353315
Copyright by CreateGreetingCards.eu