Familia ya Mzee Ngazonia Yonael Msuya inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Ngazonia Yonael Msuya inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Yonael Ngazonia Msuya
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi na mbili
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 1/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Na mungu awabariki
Mawasiliano : Yonael mlembo 0758996967
Statistics
Created today: 71
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1772
Created 30 days: 3721
All ecards: 328910
Copyright by CreateGreetingCards.eu