Familia ya Mzee Zabron Funuki wa Tanga Mjini wanayo furaha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Zabron Funuki wa Tanga Mjini wanayo furaha
kukujulisha
Bw/Bibi/Miss/Mhe/Mr&Mrs/Ndg
kuwa kijana wao mpendwa Peter Zabron Funuki
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa 12/2023.Ukiwa kama nduqu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali kufanikisha shughuli hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako
tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mwisho wa mchango ni tarehe 25/11/2023
kabidhi mchango wako kwa aliyekupa kadi hii
Mungu anafurahi tunapotoa kwa Moyo.
kiwango:Double 50,000/=
single 30,000/=
Mawasiliano : Mwenyekiti 0712 415 592
Katibu 0768 550 173
Statistics
Created today: 60
Created yesterday: 74
Created 7 days: 915
Created 30 days: 4139
All ecards: 330159
Copyright by CreateGreetingCards.eu