Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Nassa Mwegairo wa Rudewa Kilosa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya Nassa Mwegairo wa Rudewa Kilosa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Nassa Mwegairo wa Rudewa Kilosa Morogoro inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Christopher Nassa Mwegairo
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/09/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : Christopher 0715822491
Similar cards
Inspirations
Venue : Orange habitat Society,Flat no F2,first floorAarush’s Bornahan and Haldi Kumkum InvitationOn Saturday , 15 January 2022Venue: D - 902Venue : Type IV/7/41
Statistics Created today: 31 Created yesterday: 65 Created 7 days: 484 Created 30 days: 2053 All ecards: 338463
Copyright by CreateGreetingCards.eu