Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba Inayo furaha kukujulisha

Ads
Familia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba Inayo furaha kukujulisha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI.
Familia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba Inayo furaha kukujulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

...................................................
Kuwa kijana wao mpendwa
DEOGRATIUS LWEKAMWA
Anatarajia kufunga ndoa Takatifu Tarehe 27 December 2025. Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa mchango wako/wenu wa Hali na Mali, Ili kufanikisha shughuli hii muhimu.
Single: 30000/=
Double: 50000/=
Mwisho wa mchango ni Tarehe 20 December 2025.

Mawasiliano
: Ndg Deogratius Lwekamwa +255762652197
: Ndg Theonest Thadeo +255786513373
: Ndg Agatius Muganyizi +255786450774
Similar cards
Inspirations
TIMOTH ZULLUOn Friday, 05 August 2022Haldi kumkum and PariVenue : D1404, plumeria Drive punawaleOn Sunday , 22nd January 2022On Friday, 26th Jan 2024
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 20 Created 7 days: 79 Created 30 days: 440 All ecards: 359060
Copyright by CreateGreetingCards.eu