Familia ya Rev.Amos B.Ngonyani wa Namtumbo Bomani(Ruvuma)inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpe
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Rev.Amos B.Ngonyani wa Namtumbo Bomani(Ruvuma)inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Miriam Amos Ngonyani anatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi(2024).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) inayotarajiwa kufanyika mwezi wa kumi tarehe 12.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 05/10/2024
Kwa Mawasiliano
0628 186 142 Miriam Amos
0754 228 114 Ayubu Amos
MIRIAM AMOS NGONYANI.
Statistics
Created today: 71
Created yesterday: 212
Created 7 days: 1772
Created 30 days: 3721
All ecards: 328910
Copyright by CreateGreetingCards.eu