Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya Said Mwakatage wa Soweto Mbeya inayo furaha kukualika/kuwaaalika

Ads
Familia ya Said Mwakatage wa Soweto Mbeya inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa kikao cha harusi
Familia ya Said Mwakatage wa Soweto Mbeya inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

...............................
kwenye kikao cha harusi ya Kijana wao mpendwa Joseph Said Mwakatage. Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Goba njia nne tarehe 03/03/2024 saa 10:00 jioni
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki kwa ushiriki,
Kufika kwako ndio mafanikio ya harusi ya Kijana wetu mpendwa

Mawasiliano : 0717116189 Joseph Mwakatage, 0717040408 Dorice Mwakatage
Similar cards
Inspirations
You are cordially invited to join us at our haldi kumkum ceremonyWith love from Grand Children :We Cordailly Invite you to our home on the occassion of Gauri Ganpati for Darshan, followed by PrasaVaramahaLakshmi Haldi Kumkum Invitation"TILWA" InvitationOn Tuesday, 6th Feb
Statistics Created today: 59 Created yesterday: 74 Created 7 days: 914 Created 30 days: 4138 All ecards: 330158
Copyright by CreateGreetingCards.eu