Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Familia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Familia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa binti yao mpendwa SAHILA IDDY
anatarajia kufunga ndoa tarehe 20/08/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/07/2024 kupitia kwa
aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Mawasiliano : 0683542283
0683828720
Similar cards
Inspirations
On Friday, 26 Sept 2025Familia ya Zainab Athman wa Dar es salaam inayo furaha kukujulisha/kuwajulishaSankranti Haldi Kumkum Invitation for my dear friendsVenue : spring A1102Upcoming birthday of our sonVenue : A-907, Aditya vivaaz, Ravet
Statistics Created today: 1 Created yesterday: 11 Created 7 days: 60 Created 30 days: 301 All ecards: 359972
Copyright by CreateGreetingCards.eu