Familia ya TWALIB MBARUKU wa MBEYA UYOLE inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya TWALIB MBARUKU wa MBEYA UYOLE inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa bint wao mpendwa Nasra Twalib Mbaruku
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 20/10/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : 0754606645 Twalib Mbaruku.
0628144370 Sheila mbaruku
Statistics
Created today: 72
Created yesterday: 156
Created 7 days: 738
Created 30 days: 4155
All ecards: 331178
Copyright by CreateGreetingCards.eu