Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

FATHER NUBTSE

Ads
FATHER NUBTSE
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
FATHER NUBTSE

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
Manbir Singh & Manmeet SinghOn Friday 16 February 2024On Wednesday, 7th of FebVenue : 606,Platinum AuraFamilia ya Bw & Bibi CALVIN MREMA wa Mwisho wa lami(Yombo Vituka) inayo furaha kukualika/kuwaaalikaWe cordially invite all the ladies to our home
Statistics Created today: 11 Created yesterday: 43 Created 7 days: 178 Created 30 days: 1083 All ecards: 357227
Copyright by CreateGreetingCards.eu