Furaha kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya HASSAN MAZILA wa Kilindi, Tanga na familia ya HUSSEIN ABDALLAH wa Kiteto, Manyara wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh
....................................................................
kuwa vijana wao wapendwa SHABAN HASSAN MAZILA na MARIAM Bint HUSSEIN ABDALLAH wanatarajia kufunga ndoa mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu na familia unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati. Mola akulipe kheri
Mawasiliano:
0621076314
0658921812
Statistics
Created today: 85
Created yesterday: 117
Created 7 days: 643
Created 30 days: 1950
All ecards: 353177
Copyright by CreateGreetingCards.eu