GIBSON MAYNARD MWAGOMBA(MASUKU)
Create a similar
Send a card
The content of the card
MWARIKO WA KIKAO CHA HARUSI
Familia ya Marehemu ndugu Maynard Mwiza Mwagomba wa Mbezi Mwisho.wanayofuraha kukualika/kuwaalika kwenye kikao cha kwanza cha maandalizi ya harusi ya kijana wao mpendwa.
GIBSON MAYNARD MWAGOMBA(MASUKU)
Kitakachofanyika Ijumaa Tarehe 09/08/2024 msimbazi center.Kuanzia Saa 9:00 alasiri.
Karibuni Sana
TUNATANGULIZA SHUKRANI ZETU ZA DHATI NA MUNGU AWABARIKI SANA.
Mawasiliano:
GIBSON MAYNARD
+255769005666
ANGELA KABWOTO
+255715389849
TONY MAYNARD
+255714941828
Statistics
Created today: 62
Created yesterday: 74
Created 7 days: 1649
Created 30 days: 3714
All ecards: 329048
Copyright by CreateGreetingCards.eu