Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Heresia W. Francis anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane (2026)

Ads
Heresia W. Francis anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane (2026)
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya WOLFGANG FRANCIS wa Kisiwani, Mburahati inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Theresia W. Francis anatarajia kufunga ndoa mwezi wa nane (2026).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwanzoni mwa mwezi wa nane.

Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 25/07/2026

Kwa Mawasiliano
0784000000000 Christina Sangusangu
0760000000000 Theresia Francis

Theresia W. Francis.
Similar cards
Inspirations
7 May 2023Happy Birthday To A Wonderful Person & A Great Boss of all timeYou mean all of this and much more16 April 2022 SaturdayMr. Akshay & Mrs.Kruti Ghiya"Smt. Vanamala & Sri. Poral Venkateshulu"
Statistics Created today: 17 Created yesterday: 13 Created 7 days: 70 Created 30 days: 387 All ecards: 360641
Copyright by CreateGreetingCards.eu