Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Hivyo ukiwa ndungu, jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wa kuanzia Tsh 150,00

Ads
Hivyo ukiwa ndungu, jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wa kuanzia Tsh 150,00
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya marehemu Mzee Elirehema Ally Mmbughu wa Same-Kilimanjaro.
wanayofuraha kukutaarifu/kuwataarifu
mhe./prof./dkt./mch./bw.&bi/bw./bibi.
..............................................................
kuwa kijana wao mpendwa
Benjamin Elirehema Mmbughu
anatarajia kufunga ndoa tarehe 06/09/2026 jijini dar es salaam
hivyo ukiwa ndungu, jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wa kuanzia Tsh 150,000 Double na Tsh 75,000 Single ilikufanikisha shughuli hii muhimu.Tafadhali wasilisha mchango wako kabla ya tarehe 30/08/2026 kwa aliyekupa kadi hii au unaweza kutuma kupitia;

Airtel: 0693344105-Benjamin Mmbughu
NMB: 23110047552-Benjamin Mmbughu
Airtel Lipa No: 66415512-Benjamin Mmbughu

"tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana."
Similar cards
Inspirations
CS Grand Adventure Theme Park & ResortsAnjali Bhavi & Vishal SanmukhMEET & NIYANTAHeir Loving SonRequest the pleasure of your company to celebrateI cordially invite you to my sister Ring Ceremony party. Please be there to shower your blessings on
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 14 Created 7 days: 75 Created 30 days: 343 All ecards: 359716
Copyright by CreateGreetingCards.eu