Ilikufanikisha shughuli hii muhimu.Tafadhali wasilisha mchango wako kabla ya tarehe 30/08/2026 kwa
Create a similar
Send a card
Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya marehemu Mzee Elirehema Ally Mmbughu wa Same-Kilimanjaro.
wanayofuraha kukutaarifu/kuwataarifu
mhe./prof./dkt./mch./bw.&bi/bw./bibi.
..............................................................
kuwa kijana wao mpendwa
Benjamin Elirehema Mmbughu
anatarajia kufunga ndoa tarehe 06/09/2026 jijini dar es salaam
hivyo ukiwa ndungu, jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wa kuanzia Tsh 50,000 ilikufanikisha shughuli hii muhimu.Tafadhali wasilisha mchango wako kabla ya tarehe 30/08/2026 kwa aliyekupa kadi hii au unaweza kutuma kupitia;
Airtel: 0693344105-Benjamin Mmbughu
NMB: 23110047552-Benjamin Mmbughu
Airtel Lipa No: 66415512-Benjamin Mmbughu
"tunatanguliza shukrani zetu za dhati na Mungu akubariki sana."
Statistics
Created today: 0
Created yesterday: 23
Created 7 days: 74
Created 30 days: 332
All ecards: 359697
Copyright by CreateGreetingCards.eu