Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule

Ads
Imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa Kamati ya Harusi

Familia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg

.............................................
imekuteua kuwa mmoja wa wanakamati wa maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule anayetarajia kufunga ndoa na Octavina Mayemba mwanzoni mwa mwezi wa 10/2025.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba ushiriki wako wakaribu kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu. Kikao cha kwanza kitakuwa tarehe 19/07/2025 siku ya jumamosi katika ukumbi wa kanisa la Anglikana Ludewa mjini.


Mawasiliano : +255617465009 au +255620653192
Similar cards
Inspirations
💐🎂🎁 Appi and BhaijaanPlease join us on February 26, 2022 @ 12:50 PM for aCelebrate God Dhana ceremony ofTras más de 4 años de noviazgoBond from strength to strengthOn July 13th 2021
Statistics Created today: 101 Created yesterday: 63 Created 7 days: 619 Created 30 days: 1784 All ecards: 352906
Copyright by CreateGreetingCards.eu