Inaomba mchango wako wa hali na mali kwa ajili maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alf
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango wa Harusi
Familia ya Alfred Haule wa Ludewa Mjini inayo furaha kukutaarifu
Ndg
.............................................
inaomba mchango wako wa hali na mali kwa ajili maandalizi ya Harusi ya kijana wao Mpendwa Samwel Alfred Haule anayetarajia kufunga ndoa na Octavina Mayemba. Tarehe 11/10/2025 siku ya jumamosi
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii tunaomba mchango wako ili kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mchango
Single 25,000
Dauble 50,000
Mwisho wa mchango ni tarehe 4/10/2025.
Mkabidhi mchango kwa aliyekupa kadi hii.
Mawasiliano : +255617465009 au +255620653192
Statistics
Created today: 85
Created yesterday: 63
Created 7 days: 603
Created 30 days: 1768
All ecards: 352890
Copyright by CreateGreetingCards.eu