Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Joseph Mtokoma

Ads
Joseph Mtokoma
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mr.Sosthenes Luhende wa Mwadui Shinyanga inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
Joseph Mtokoma
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Alfred Sosthenes
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/04/2023 kupitia M-Pesa 0759573676 au NMB akaunti 30710019100 Alfred Sosthenes Luhende
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki sana

Mawasiliano : Alfred Sosthenes 0759573676
Zawadi Evarist 0783141331
Similar cards
Inspirations
You are cordially invited to receive Tambulam and Goddess Varalakshmi blessings on the occasion of VVenue : Vighnaharta Hospital, Vavi Ves , Londhe Lane , SinnarFamilia ya Emmanuel Nilla Maha wa njiapanda,Maswa mkoani Simiyu wanayo furaha kukujulisha/kuwajulishVenue : 1801, Rosalyn, Building no 21, Regency Anantam Dombivli EastTime: 3:30pm to 6:00pmFriday , 20 January 2023
Statistics Created today: 60 Created yesterday: 60 Created 7 days: 517 Created 30 days: 4132 All ecards: 330219
Copyright by CreateGreetingCards.eu