Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

KADI YA HARUSI

Ads
KADI YA HARUSI
Create a similar
Send a card
The content of the card
KADI YA HARUSI
Familia ya Bwana George Kisinza inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Michael Kisinza
anatarajia kufunga ndoa 03/02/2024
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa kuhudhuria shughuli hii.

HOTUBA YA NDOA ITAFANYIKA
JUMBA LA UWANJA WA NDEGE,
DAR ES SALAAM SAA 9:00 ALASIRI
IKIFATIWA NA TAFRIJA FUPI SAA 11:00 JIONI
WHITE HORSE HALL ,MACHIMBO
RANGI YA HARUSI NYEKUNDU NA NYEUSI

KWA MAWASILIANO
MWENYEKITI+255756848637 
HAULE+255714809215
Similar cards
Inspirations
On Friday, 16 Jan 2024On Friday, 20Tomorrow on tuesday, 25th January 2021 all are inviting at my place for haldi kumkumPriyankaVaibhav Laxmi,InvitationOn Wednesday, 15th January 2024
Statistics Created today: 71 Created yesterday: 212 Created 7 days: 1772 Created 30 days: 3721 All ecards: 328910
Copyright by CreateGreetingCards.eu