Create a similar
Send a card
The content of the card
KADI YA MWALIKO
Assalaam alykum warahmatullahi wabarakatuh.
Familia ya HUSSEIN ABDALLAH wa Kiteto- Manyara wanayo
Furaha kubwa kukualika/kuwaalika Bwn/Bi/Miss/Mch/Shekh/Mh/
....................................................................
katika harusi ya Binti yao
Mpendwa
MARIAM HUSSEIN anaetarajia kufunga ndoa na
SHABAN HASSAN itakayofanyika jumamosi ya tarehe 19/10/2024
Kiteto- Manyara.
Kama ndugu, jamaa au rafiki wa familia hii unaomba kufika kwaajili ya
kufanikisha shughuli hii kwani uwepo wako ni faraja na upendo mkubwa kwetu
Tunatanguliza shukran za dhati
Mola akulipeni kheri
Nyote mnakaribishwa
Wabillahi taufiq.
Mawasiliano:
0623747871
Statistics
Created today: 42
Created yesterday: 60
Created 7 days: 499
Created 30 days: 4114
All ecards: 330201
Copyright by CreateGreetingCards.eu