Kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/09/2024
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Mr & Mrs Makande wa Mbagala, Dar es Salaam inayo Furaha kukujulisha
kuwa Kijana wao mpendwa
Hamza Makande
anatarajia kufunga ndoa mwezi wa kumi.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 05/09/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Mrs Makande 0718599525
0783599525
Statistics
Created today: 2
Created yesterday: 74
Created 7 days: 857
Created 30 days: 4081
All ecards: 330101
Copyright by CreateGreetingCards.eu