Kufanikisha tukio hili muhimu
Create a similar
Send a card
Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI.
Familia ya Ndg PLACID LWEKAMWA wa MALUKU BUKOBA inayo furaha kukutaarifu/kuwataarifu
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao DEOGRATIUS LWEKAMWA anatarajia kufunga ndoa takatifu mnamo tar 27/12/2025
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa Mchango wako wa Hali na mali ili kufanikisha tukio hili muhimu.
Mwisho wa Mchango ni 13 December 2025.
🤝 Mungu akubaliki. 🤝
Kwa Mawasiliano Zaidi
1. Deogratius Lwekamwa - 0762652197
2. Agatius Muganyizi - 0786450774
Statistics
Created today: 7
Created yesterday: 101
Created 7 days: 582
Created 30 days: 1997
All ecards: 353324
Copyright by CreateGreetingCards.eu