Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa bint yao mpendwa Shadya Issa

Ads
Kuwa bint yao mpendwa Shadya Issa
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Issa inayo furaha na kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.................................
kuwa bint yao mpendwa Shadya Issa
anatarajia kufunga ndoa mwanzo mwa mwezi wa nane
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/07/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Similar cards
Inspirations
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ SILVESTA kuwa kiSneha BidveInvitation for Haldi Kumkum and AdvikaOn Monday, 12th August 2024Venue : E/204, Sheetal Sarovar, Sheetal Nagar, MTNL Road, Mira Road, Thane- 401 107On Monday, 23 January 2023
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 12 Created 7 days: 56 Created 30 days: 374 All ecards: 360595
Copyright by CreateGreetingCards.eu