Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa Binti Yao Mpendwa

Ads
Kuwa Binti Yao Mpendwa
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
OMBI LA MCHANGO WA SENDOFF

Familia ya Bw.Saullo Kyando wa Mwambene Mbeya wanayofurahaa na Heshima kubwa kukutaarifu/kuwataarifu Bw&Bi/Mchg/Dr/Pro/Mwl/Ndg
.....................
Kuwa Binti Yao Mpendwa
Mariam S.Kyando
Anatarajiwa kuagwa ( sendoff)mnamo Tar.01/08/2024.Hivyo Familia kwa kutambua umuhimu wako wewe ukiwa kama ndugu ,jamaa na rafiki WA familia hii unaombwa sana Mchango wako wa Hali na mali ili kufanikisha shughuli hii .
Mchango ni Tshs.70000 Double
Tshs.30000 Single
Tunaomba umpatie mchango wako Aliye kupatia kadi au unaweza kutuma kwa njia ya M-pesa,Halopesa na Tigo pesa hapo chini .Familia itafarijika sana endapo mchango wako utawafikia kabla ya Tar.27/07/2024.
Tunatanguliza shukrani za dhati na Mungu akubariki..Kutoka 28
Kwa mawasiliano Piga simu Na; 0768033206/0716449310/0623677624.
...................
Mwenyekiti wa kamati .
Similar cards
Inspirations
On Sunday , 15 October 2023Wanayo furaha kubwa kukujulisha/kuwajulishaFARM VIEW APARTMENT 40On monday 12 February 2024Venue : 56 Heren laneVenue: B-703, Prime Square Society, Pimple Saudagar
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 4 Created 7 days: 50 Created 30 days: 369 All ecards: 360585
Copyright by CreateGreetingCards.eu