W aplikacji banku wybierz: BLIK → Przelew na telefon i wklej numer.
The content of the card
Familia ya MLITABU NACHANA wa Dar es salaam wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Christina
Maliatabu Nchana
anatarajia kufunga ndoa
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 20/12/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akawalipe mlipotoa