Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa kijana wao mpendwa Cyprian Ibrahimu Ntugwa

Ads
Kuwa kijana wao mpendwa Cyprian Ibrahimu Ntugwa
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya Mwl.Ibrahimu Ntugwa wa Makao-Meatu inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Cyprian Ibrahimu Ntugwa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa Saba.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/06/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri

Kiwango cha mchango:...................

Mawasiliano : 0629157537 Halopesa
Jina: Cyprian Ibrahimu ntugwa
Similar cards
Inspirations
On 2nd February 2022On Friday, 22 March 2024Jai Badi Mata...................Jai Kul Devta(CHHAPPAN BHOG)Venue : C104, Manik baug OrchidMWALIKO WA KIKAO CHA KWANZA CHA HARUSI
Statistics Created today: 87 Created yesterday: 117 Created 7 days: 645 Created 30 days: 1952 All ecards: 353179
Copyright by CreateGreetingCards.eu