Kuwa kijana wao mpendwa DEOGRATIUS LWEKAMWA
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
MWALIKO WA KIKAO CHA HARUSI
Familia ya Ndg Plasid Lwekamwa wa Maluku- Bukoba Inayo furaha kukujulisha/ kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
...................................................
Kuwa kijana wao mpendwa DEOGRATIUS LWEKAMWA
Anatarajia kufunga ndoa Takatifu Tarehe 27 December 2025. Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kuhudhuria kikao Cha kamati ya maandalizi kitakachofanyika tarehe_____ /____/ 2025. Sawa 10:00 jioni, nyumbani Kwa Ndg Plasid Lwekamwa.
Kufika kwako ndio mafanikio ya kikao chetu. Karibu sana
Mawasiliano
: Mr Plasid Lwekamwa 0685880687
: Mr Balikwelia 0783256777
Statistics
Created today: 30
Created yesterday: 55
Created 7 days: 597
Created 30 days: 2032
All ecards: 353402
Copyright by CreateGreetingCards.eu