Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa kijana wao mpendwa Ian John Nchwali

Ads
Kuwa kijana wao mpendwa Ian John Nchwali
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Bwana John N. Joel wa Ipagala Dodoma inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Ian John Nchwali
anatarajia kufunga ndoa tarehe 15 June 2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/05/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati Mungu akuzidishie utakapotoa

Mawasiliano : John N. Joel 0754260831 au
Caritas Mushairizi 0754313481
Similar cards
Inspirations
A1 1901 Kumar Prospera magarpatta road near HDFC school Hadapsar PuneTime: 7 to 9 pmVenue : C2-1202, Tuscan ParklandWe cordially invite you for Haldi Kumkum at our home on Friday, 09 September 2023Lalitha Sahasranama Stotram Parayanam and thamboolam InvitationVenue: 2543 Thorncroft Pl
Statistics Created today: 28 Created yesterday: 59 Created 7 days: 781 Created 30 days: 2597 All ecards: 354368
Copyright by CreateGreetingCards.eu