Kuwa kijana wao mpendwa Thani Omari Mustafa
Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya SHEKH IDDY wa Mbuyuni inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Thani Omari Mustafa
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa tano.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/07/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano :0683542283
0683828720
Statistics
Created today: 26
Created yesterday: 70
Created 7 days: 1545
Created 30 days: 3667
All ecards: 329082
Copyright by CreateGreetingCards.eu