Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa kijana wao mpendwa Yonael Ngazonia Msuya

Ads
Kuwa kijana wao mpendwa Yonael Ngazonia Msuya
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Ngazonia Yonael Msuya inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa Yonael Ngazonia Msuya
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wakumi na mbili.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/11/2023 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu awabariki

Mawasiliano : yonael Mlembo 0758996967/0712492897
Similar cards
Inspirations
Venue : A-1305, Legacy MilleniaOn Friday,13 DecemberVenue : Flat no.FF-8,B-block,1st Floor,Majestic spa,Ambeque vado,VernaOn Tuesday, 24th January 2023SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Ndugu/ KELETH kuwa kija
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 4 Created 7 days: 121 Created 30 days: 371 All ecards: 360547
Copyright by CreateGreetingCards.eu