Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kuwa Mwalimu Peter Funuku

Ads
Kuwa Mwalimu Peter Funuku
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
Mchango Wa Harusi

Kamati ya Maandalizi ya Harusi ya Mwalimu Peter Funuku wa Tanga Mjini inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Ndg

.............................................
kuwa Mwalimu Peter Funuku
anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa 12.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na maliili kufanikisha shughuli hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako tukiamini utashiriki nasi kikamilifu.
Mwisho wa mchango ni tarehe 25/11/2023
kabidhi mchango wako kwa aliyekupa kadi hii

Mungu anafurahi tunapotoa kwa Moyo.

Mawasiliano : Mwenyekiti 0753 013 177
Katibu 0713 071 211
Similar cards
Inspirations
Gurmeet Singh and familyTime: 6.00 pm - 7.30 pmDhritiVenue : 22 Marvon Downs Avenue, PakurangaVenue : A3-1803, Kumar Prospera6584 Apt 201, Arbour Court
Statistics Created today: 2 Created yesterday: 21 Created 7 days: 130 Created 30 days: 664 All ecards: 357876
Copyright by CreateGreetingCards.eu