Kuwa wanatarijia kumfanyia sherehe ya kumuaga[Send off]binti yao mpendwa
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
FAMILIA YA BWANA NA BIBI LWITIKO MWANDOBO WA MBEYA TUKUYU WANAYO FURAHA KUKUJILISHA/KUWAJULISHA
Mhe/Dkt/Bw & Bibi/Bw/Bibi
.........................................
kuwa wanatarijia kumfanyia sherehe ya kumuaga[Send off]binti yao mpendwa
GRACIOUS LWITIKO MWANDOBO
Mwanzoni mwa mwezi wa tano 2025 MBEYA, hivyo ukiwa kama ndugu jamaa rafiki au jirani wa karibu wa familia hii tunaomba mchango wako wa hali na mali ili kufanyikisha shughuri hii muhimu
tafadhari wasilisha mchango wako kwa aliyekupa kadi hii kabla ya tarehe 10/05/2025
tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mungu akubariki/awabariki sanaa
mawasiliano:099999999
:099999999 GABI
Statistics
Created today: 107
Created yesterday: 295
Created 7 days: 931
Created 30 days: 2619
All ecards: 354146
Copyright by CreateGreetingCards.eu