Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

Kwenye kikao cha shughuli ya binti wao mpendwa JAMIMA ABDUL

Ads
Kwenye kikao cha shughuli ya binti wao mpendwa JAMIMA ABDUL
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MWALIKO WA KIKAO

Familia ya Sophia Almasi wa Makumbusho-Dar es Salaam inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye kikao cha shughuli ya binti wao mpendwa JAMIMA ABDUL.

Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kufika kwenye kikao hicho kitakacho fanyika Magomeni Kanisani tarehe 23/06/2024 saa 9:00 Mchana.

Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio mafanikio ya shughuli ya binti yetu mpendwa

Mawasiliano
Sophia Almasi 0785515756
0715006561
Similar cards
Inspirations
Kwenye kikao cha shughuli ya binti wao mpendwa JAMIMA ABDULSemoga Allah swt melimpahkan perlindungan setiap langkahmu, kurniakan kebahagian dan afiya duniawi dSalandri Krishna Yadav andMag al Ma se drome waar wordMONDAY,1st April 2024- 11.00AM onwardsSmt Punyavathi & Shivamallappa
Statistics Created today: 17 Created yesterday: 12 Created 7 days: 205 Created 30 days: 689 All ecards: 358435
Copyright by CreateGreetingCards.eu