Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

MAFINGA inayo furaha kukujulisha kuwa vijana wao wapendwa Samweli kenadi swalo &Victoria Ezekiel s

Ads
MAFINGA inayo furaha kukujulisha kuwa vijana wao wapendwa Samweli kenadi swalo &Victoria Ezekiel s
Create a similar
Send a card


Wesprzyj Polski darmowy generator kartek!

The content of the card
MCHANGO WA HARUSI
Familia ya MR & MRS SWAIO wa NJOMBE
- MAFINGA inayo furaha kukujulisha kuwa vijana wao wapendwa Samweli kenadi swalo &Victoria Ezekiel salingo
wanatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa sita(2025).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli inayotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa sita.
single -50,000/=
double -70,000/=
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hi kabla ya tarehe 20/06/2025
Kwa Mawasiliano
0769623072
samweli swalo
Similar cards
Inspirations
Save the date as you23 July 2018 , Monday , 6 pm onwardsप्रथम निमंत्रण आपको ब्रह्मा विष्णु मTo dearest Prasanth & ShanmathiWe cordially invite you and your family members to myDate:- 23rd April 2022
Statistics Created today: 0 Created yesterday: 19 Created 7 days: 64 Created 30 days: 375 All ecards: 360643
Copyright by CreateGreetingCards.eu