Mama B.Zakayo Buchafwe Magesa
Create a similar
Send a card
Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Zakayo Buchafwe Magesa inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.....Mama B.Zakayo Buchafwe Magesa........................................
kuwa kijana wao mpendwa Daud Silo
anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa pili 2026.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/01/2026 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Mawasiliano : Amon B magesa
Mjomba
Amon :0620832081
Statistics
Created today: 29
Created yesterday: 50
Created 7 days: 861
Created 30 days: 2591
All ecards: 354310
Copyright by CreateGreetingCards.eu