Create a similar
Send a card
The content of the card
OMBI LA MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Bw.Saullo Kyando wa Mwambene Mbeya wanayofurahaa na Heshima kubwa kukutaarifu/kuwataarifu Bw&Bi/Mchg/Dr/Pro/Mwl/Ndg
.....................
Kuwa Binti Yao Mpendwa
Mariam S.Kyando
Anatarajiwa kuagwa ( sendoff)mnamo Tar.01/08/2024.Hivyo Familia kwa kutambua umuhimu wako wewe ukiwa kama ndugu ,jamaa na rafiki WA familia hii unaombwa sana Mchango wako wa Hali na mali ili kufanikisha shughuli hii .
Mchango ni Tshs.70000 Double
Tshs.40000 Single
Tunaomba umpatie mchango wako Aliye kupatia kadi au unaweza kutuma kwa njia ya M-pesa,Halopesa na Tigo pesa hapo chini .Familia itafarijika sana endapo mchango wako utawafikia kabla ya Tar.27/07/2024.
Tunatanguliza shukrani za dhati na Mungu akubariki..Kutoka 28
Kwa mawasiliano Piga simu Na; 0768033206/0716449310/0623677624.
...................
Mwenyekiti wa kamati .
Statistics
Created today: 30
Created yesterday: 68
Created 7 days: 939
Created 30 days: 4118
All ecards: 329994
Copyright by CreateGreetingCards.eu