Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Send-Off
Familia ya Baltazari Lyimo ya Soweto Moshi inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kuwa binti wao mpendwa
Mary Baltazari Lyimo
anatarajia kuagwa (Send-Off Party) tarehe 5/9/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 15/08/2024.
Tuma mchango wako kwa;
0758073136 Mary Lyimo (MPESA)
0659495237 Mary Lyimo (TIGOPESA)
42910036090 NMB Mary Baltazari Lyimo
Statistics
Created today: 46
Created yesterday: 74
Created 7 days: 457
Created 30 days: 4101
All ecards: 330279
Copyright by CreateGreetingCards.eu