MCHANGO WA HARUSI Familia ya HASSAN MAZILA wa Kilindi, Tanga na familia ya HUSSEIN ABDALLAH wa Kitet
Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA HARUSI Familia ya HASSAN MAZILA wa Kilindi, Tanga na familia ya HUSSEIN ABDALLAH wa Kiteto, Manyara wanayo furaha kukujulisha/kuwajulisha Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng/Shekh
....................................................................
kuwa vijana wao wapendwa SHABAN HASSAN MAZILA na MARIAM Bint HUSSEIN ABDALLAH wanatarajia kufunga ndoa mnamo tarehe 19/10/2024.
Ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu na familia unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 01/10/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii Tunatanguliza shukrani zetu za dhati. Mola akulipe kheri
Mawasiliano:
0621076314
0683973141
0658921812
CreateGreeting canas.eu
Statistics
Created today: 0
Created yesterday: 60
Created 7 days: 457
Created 30 days: 4072
All ecards: 330159
Copyright by CreateGreetingCards.eu