Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

MCHANGO WA KUBARIKI NDOA

Ads
MCHANGO WA KUBARIKI NDOA
Create a similar
Send a card


Stworzyłeś swoją kartkę? Postaw nam kawę na rozwój projektu ;)

The content of the card
MCHANGO WA KUBARIKI NDOA
Familia ya Bw&Bibi Ezekiel Leonsi wa Mbulu Manyara inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kuwa kijana wao mpendwa ANDREW EZEKIELI LEONSI
anatarajia kubariki ndoa tarehe 27/o4/2024.
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 20/04/2022 kupitia kwa aliyekupa kadi hii.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
"Ndipo hao watu wakafurahi kwasababu wametoa kwa hiyari yao wenyewe" (1Nyakati 29:9)

MWALIKO WA KUBARIKI NDOA
Familia ya Bw&Bibi Ezekiel Leonsi wa Mbulu Manyara inayo furaha kukukaribisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng

.............................................
kwenye sherehe ya kubariki Ndoa ya Vijana wao ANDREW EZEKIELI LEONSI & GRACE ALOYCE PAUL
itakayofanyika tarehe 27/04/2024 MBULU Manayara.
Tafrija hyo itaanza muda wa saa 4 asubuhi hadi saa 12 Jioni.

"Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja" (Mwanzo 2:24).

Mawasiliano : ANDREW LEONSI
0684484743
Similar cards
Inspirations
SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha PA NAOMI kuwa kijana waoVENUE: WELWORTH TINSELTOWNVenue : 603-604, Varadvinayak Apt, Sec 29, Plot no: 18, Rabale, Navi MumbaiOn Sunday day, 23rd January 2022Venue : G 502 SarangOn Sunday, 04 January 2024
Statistics Created today: 5 Created yesterday: 69 Created 7 days: 536 Created 30 days: 1784 All ecards: 352980
Copyright by CreateGreetingCards.eu