Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SEND-OFF
Familia ya Bw. na Bi Alfredy Frederick Kaiza wa kitobo Kyazi bukoba wanayo furaha na heshima kubwa kukuomba/ kuwaomba
Bw&Bi/Bi/Bw/mhe/Raf/Prof/Dr/Mwl/Mch
Mchango kwa ajili ya kufanikisha sherehe ya binti yao mpendwa Geraidina Alfredy Kaiza anayetarajiwa kugawa mwanzoni mwa mwezi feb 2023. Hivyo kwa kutambua umuhimu wako ukiwa ndugu au rafiki wa karibu na familia yetu unaombwa mchango wako ili kuweza kufanikisha sherehe hiyo .
Mchango wako/wenu utumwe kea kupitia
Tigopesa 0653573336 Geraidina Frederick
Mpesa 0757107123 Geraidina Frederick
Kabla ya tarehe 31/01/2023
Sisi kama familia tunatanguliza shukurani zetu za hatimae.
Mawasiliano:
0754387732 Magreth Kaiza
0757107123 Geraidina Kaiza
0653274852 Alfredina Kaiza
Statistics
Created today: 10
Created yesterday: 61
Created 7 days: 896
Created 30 days: 4083
All ecards: 330035
Copyright by CreateGreetingCards.eu