Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango wa Send Off
Familia ya Bwana na Bibi John Mhina
wa Kinondoni , Dar es salaam ,
wanayo furaha Kubwa kukujulisha/Kuwajulisha
Mhe/Mch/Eng/Dr/Prof/Bwana & Bibi/Bw & Bi
Kuwa Binti yao Mpendwa
Irene John Mhina
Anatarajia Kuagwa ( Send off)Mwanzoni wa
mwezi wa Nane (8) ,Hivyo basi ukiwa ndugu,Jamaa au Rafik wa karibu familia hii . Tunaomba Mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha sherehe hii kabla ya tarehe 15/07/2023.
Tunatanguliza shukrani nyingi za dhati .
Mungu awabariki /Awabariki sana
Mawasiliano zaidi:
IRENE JOHN +255 719 007 832 - TIGOPESA
MARY MTUNGUJA +255 759 082 003 MPESA
Statistics
Created today: 7
Created yesterday: 119
Created 7 days: 1063
Created 30 days: 3665
All ecards: 332719
Copyright by CreateGreetingCards.eu