Create a similar
Send a card
The content of the card
MCHANGO WA SENDOFF
Familia ya Melkizedeck Mligha(Marehemu) was Rau Madukani(Moshi) inayo furaha kukujulisha kuwa binti yao mpendwa Nancy M. Mligha anatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwezi wa kumi(2022).
Hivyo ukiwa kama ndugu, jamaa na rafiki wa karibu tunaomba ushirikiano wako wa hali na mali katika kufanikisha shughuli ya kumuaga(sendoff) linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi wa kumi.
Tutapokea kwa upendo na shukrani mchango wako kupitia kwa aliyekukabidhi kadi hii kabla ya tarehe 08/10/2022
Kwa Mawasiliano
0784457356 Nancy Mligha
0767264373 Jeff Mligha
NANCY MELKIZEDECK MLIGHA.
Statistics
Created today: 35
Created yesterday: 68
Created 7 days: 944
Created 30 days: 4123
All ecards: 329999
Copyright by CreateGreetingCards.eu