Create a similar
Send a card
The content of the card
Mchango Wa Harusi
Familia ya Mzee Issa inayo furaha na kukujulisha/kuwajulisha
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
..........Michael...Malonza........................
kuwa bint yao mpendwa Shadya Issa
anatarajia kufunga ndoa mwanzo mwa mwezi wa nane
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako wa hali na mali ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako utatufikia kabla ya tarehe 30/07/2024 kupitia kwa aliyekupa kadi hii
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri
Statistics
Created today: 3
Created yesterday: 74
Created 7 days: 1590
Created 30 days: 3655
All ecards: 328989
Copyright by CreateGreetingCards.eu