Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

MR & MRS MOABU

Ads
MR & MRS MOABU
Create a similar
Send a card


Zbieramy na nowe darmowe kartki!

The content of the card
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
MR & MRS MOABU

kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923844
Christina Shagama 0767309375
Similar cards
Inspirations
We cordially invited you all for Makar Sankranti celebrationVenue : Atlanta A1-901Venue : CA-14, Sai Saheb , Opp. Lotus Hospital , Shiv Sai Lane , Pimple SaudagarI Would Like To Invite You To Our Home On The Occasion Of Vaibhav Lakshmi Udyapan🙏D/o Mrs. Surya & Mr. Senthil RajMWALIKO WA KIKAO CHA KWANZA CHA HARUSI
Statistics Created today: 36 Created yesterday: 20 Created 7 days: 114 Created 30 days: 380 All ecards: 360508
Copyright by CreateGreetingCards.eu