Createa free cards
Searchmade ecards
Wishesbase wishlist

MWALIKO WA HARAMBEE YA UJENZI WA KANIS THE FREE PENTECOSTAL C

Ads
MWALIKO WA HARAMBEE YA UJENZI WA KANIS THE FREE          PENTECOSTAL C
Create a similar
Send a card


Jeśli chcesz się nas wesprzeć? możesz postawić kawkę

The content of the card
MWALIKO WA HARAMBEE YA UJENZI WA KANIS THE FREE PENTECOSTAL CHURCH OF TANZANIA { FPTC }
Kanisa la The Free Pentecostal Church Of Tanzania ,tunayo Furaha na heshima kubwa Kukualika/ kuwaalika
Bw & Bi /Mch/Ndg/Mh/Mwl/Dkt/Prof
....................................................
Katika harambee maalumu ya ujenzi wa Kanisa la FPTC......
Harambee itafanyika mnamo tarehe ........kuanzia saa ....Asubuhi/mchana katika kanisa la FPTC.....
TUNAKUSUDIA KUKUSANYA KIASI CHGA SHILINGI ...........
" Maana nawashuhudia kwamba kwa uwezo wao na zaidi ya uwezo wao, kwa hiari yao wenyewe walitoa vitu vyao"
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwako na Mwenyezi Mungu akubariki sana kwa moyo wako wa Upendo
Asante sana.

Mawasiliano .........................
.........................
Similar cards
Inspirations
We cordially invite you on the occasion of Haldi Kumkum and MihirIt s not the name that makes someone unique, but the1584 14th PL NEOn Thursday 18th December2022We Cordially Invite You And Your Family For The Saree Ceremony Of Our GranddaughterKUAN POOJAN.  4:00 PM
Statistics Created today: 8 Created yesterday: 4 Created 7 days: 56 Created 30 days: 375 All ecards: 360591
Copyright by CreateGreetingCards.eu