Create a similar
Send a card
The content of the card
Mwaliko wa harusi
Familia ya Yusuph Said wa
Mwananyamala Ujiji inayo furaha kukualika/kuwaaalika
Bw/Bibi/Bw&Bibi/Miss/Mhe/Dk/Mwl/Eng
.............................................
kwenye sherehe ya mtoto
wao mpendwa Kasimu Yusuph
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu wa familia hii unaombwa kuhudhuria katika sherehe hiyo itakayo fanyika nyumbani kwa Yusuph Said Mwananyamala Ujiji tarehe 28/04/2024 kuanzia saa 10:00 Asubuh
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati
Mola akulipe kheri.
Kufika kwako ndio ukamilifu wa sherehe yetu
Mawasiliano : Mzee yusuph maingila
+255784683090
Statistics
Created today: 9
Created yesterday: 74
Created 7 days: 864
Created 30 days: 4088
All ecards: 330108
Copyright by CreateGreetingCards.eu